Prof Lipumba aingia ndani ya ofisi za CUF makao makuu jijini Dar kama mwenyekiti wa chama

Jeshi la Polisi Dar es Salaam, wamelazimika kutumia nguvu kufungua mlango wa Ofisi Kuu ya Chama Cha Wananchi - CUF, Buguruni, kwa ajili ya kumruhusu 'Mwenyekiti' wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kuanza kazi zake za kiofisi baada ya Msajili wa Vyama Siasa Nchini, Jaji Mutungi kutangaza kumtambua kuwa Mwenyekiti halali.

 

Share To:

msumbanews

Post A Comment: