Home
KIMATAIFA
Mlipuaji ajitoa muhanga Somalia na kumua kamanda mmoja
Mlipuaji wa kujitolea muhanga katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu amemuaa kamanda mmoja wa jeshi pamoja na walinzi wake sita.
Mshambuliaji
huyo aliligonga gari lake lililojaa vilipuzi na msafara wa jenerali
Mohamed Jimale Goobaale karibu na makao makuu ya jeshi .
Jimale alikuwa amenusurika majaribio mengi ya kumuua .
Wapiganaji
wa kundi la al-Shabab walikiri kutekeleza shambulio hilo wakisema kuwa
jenerali huyo alikuwa kipanga mashambulizi mengi dhidi yao.
Back To Top
Post A Comment: