NIMEKUSOGEZEA BAADHI YA PICHA ZA KWENYE MAZISHI LEO

Sugu akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu wake Christopher Mwamsiku.
 
Aliyekuwa Mwentekiti wa Chadema Wilaya Mbeya mjini, John Mwambigija akitoa chozi wakat wa kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Mbeya Mjini na Mkufunzi wa mafunzo ya Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Christopher Mwamsiku…..

 Habari picha za Mazishi ya aliyekuwa Katibu wa Mbunge Mbeya, Joseph Mbilinyi ambaye pia alikuwa Mkufunzi wa mafunzo ya Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusin Christopher Mwamsiku

 Mwili wa Marehem Christopher Mwamsiku ukiingizwa kaburini…..
 Mayor wa Jiji la Mbeya, mchungaji David Mwashilind akiweka shada la mauwa.
 Mbunge wa Tunduma, Frank Mwakajoka akiweka shada la mauwa.
 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbiliny ‘Sugu’ akiweka shada la mauwa kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu wake, Christooher Mwamsiku aliyefariki Jumapili ya wiki yiliyopita na kuzika jana kijijini Ruiwa wilayan Mbarali, Mbeya.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: