MAMLAKA ya maji mji wa Njombe imetakiwa kupima usalama wa
maji ya visima katika mji huo, na kuwasaidia wananchi wake kutibu maji hayo ili
kuepukana na madhara ya wadudu wanao sababisha taifodi na magonjwa mengine
yatikanayo na maji.
Kauli hiyo inakuja wakati kila watu kumi wanao pima magongwa wawili
kati yao wanapatikana na viashiria vya magonjwa yatokanayo na maji.
Kukatika mara kwa mara kwa maji kunasababisha wananchi
kujichimbia visima ili kupata maji wakati wote.
TYPHOD MWANANCHI,. KHAMIS CHUMI, MKAZI WA NJOMBE
Mamlaka hiyo inaombwa kupima maji ya visima ili kuwaokoa
wananchi na typhoid kwa kuwapatia ushauri wa matumizi ya maji visima.
USHAURI
1. HOSEA
MPAGIKE, KATIBU CCM MKOA NJOMBE,
2. JACKSON
SAITABAHU, KATIBU TAWALA MKOA NJOMBE,
3. DEO
SANGA, MBUNGE MAKAMBAKO.
Wataalam wa afya wanasema kuwa magunjwa hayo si maji pekee
yanasababisha bali matunda yasipooshwa
viziri ugongwa hayo huambukizwa.
MTAALAM WA AFYA OSWADI MNG’OG’O MTAALAMU
Sasa nini wito kutoka kwa mtaalamu wa maji mkoa wa Njombe kuhusi wao wanavyo tibu maji,
kutoka sehemu yanapo chukuliwa maji.
www.msumbanews.blogspot.comMTAALAMU WA MAJI, KARANGI
MBWILE, MTAALAMU WA MAJI MKOA NJOMBE
Post A Comment: