Madawati yatelekezwa ukumbi wa Mkapa Mbeya.

 Licha ya serikali kuhamasisha utengenezaji wa Madawati lakini madawati haya zaidi ya 200 yaliyogharamiwa kwa fedha nyingi huenda yakaharibika kutokana na kutelekezwa katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya zaidi ya Mwezi sasa 


Madawati mengine tayari yameanza haribika  kabla ya kufikishwa mashileni

 






Share To:

msumbanews

Post A Comment: