Balozi wa Kenya nchini Tanzania Chirau Ally Makwere Aliyemuwakilisha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Akikabidhi msaada wa mablanketi 400 kwa Mkuu Wa Mkoa wa Kagera Meja Mstaafu Jenerali Salumu Kijuu

Balozi wa Kenya Akikabidhi Magodoro 100 kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera
Askari wa Kenya Wakishusha magodoro ofisnini kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera
Share To:

msumbanews

Post A Comment: