DARAJA JIPYA LA SALENDA LITAJENGWA KUPITIA BAHARINI:
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
picha ya mfano wa Daraja jipya la Salenda litakalojengwa kuanzia maeneo
ya Hospitali ya Agha Khan na kupita baharini hadi eneo la Coco beach
jijini Dar es Salaam kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Song
Geum-Young aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo. Daraja hilo litakuwa
na urefu wa kilomita 7 na kati ya hizo kilomita 1.4 zitapita baharini
na ujenzi wake unatarajiwa kuanza mwezi Juni mwakani.
Back To Top
Post A Comment: