MOROGORO:
Watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya
katika Ajali iliyotokea Mlima wa Udzungwa Wilayani Kilombero karibu na
Ofisi za Hifadhi ya Udzungwa. Ajali imetokea Saa 5 asubuhi ya leo,
imehusisha Magari mawili ambayo ni 'Bus' la MANING NICE lenye Namba za
usajili T 787 AUS iliyokuwa ikitoka Ifakara kwenda Dar es Salaam na HOPE
SAFARI lenye Namba za usajili T 865 DCU Linalofanya safari zake kutoka
Morogoro Mjini kwenda Wilayani Malinyi.
Back To Top
Post A Comment: