Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu amesema Siasa zinazofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(chadema) ni siasa za kitoto sana .


Kingu amesema hahusiki na kuumwa kwa huyo mtu anayeitwa Peter anayedai anaumwa sababu nilimpiga.


"kama wako seriuos kwanini hawaendi mahakamani,kwa nini hakuwahi kuchukua hata PF3 polisi,huyu kijana anajulikana ana maradhi yake Miaka na miaka,"alisema Mbunge huyo


Vilevile mtu huyo alisha ushambulia msafara wa Dc na alishtakiwa na akaomba radhi toka mwaka 2020,leo unaibuka amepigwa na mbunge "Siasa za kizembe hizi hazifai katika demokrasia.Mbunge Kingu

Share To:

Post A Comment: