Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kutoacha kuwasema Viongozi ambao hawawajibiki akisisitiza, "Semeni na tuleteeni kwasababu tunawatuma wawatumikie wananchi"
-
Akizungumza na
Wananchi eneo la USA River amesema, "Tunawashushia Viongozi wa kuja
kuwatumikia, kuanzia Mkuu wa Mkoa kushuka huko chini. Kama tunaleta
Kiongozi hawajibiki, hafanyi kazi zake vizuri tuambieni tutabadilisha
tuwaletee mwingine"
Post A Comment: