Tunaomba radhi kwa tatizo la kutokuonekana kwa picha na kutokufunguka kwa link zetu kwa Baadhi ya watumiaji wetu wa Blog yetu pendwa ya MsumbaNews Blog

Tatizo hili linatokana na Mifumo ya Google kubadilika na kusababisha Baadhi ya mitandao ya simu kushindwa kutoa Data zinazoweza kufungua baadhi ya link katika blog yetu.

Kwa watumiaji wa Airtel,Vodacom,Ttcl  na Tigo hawakukumbwa na tatizo hili ila kwa watumiaji wa Halotel ndio wamekumbwa na tatizo hili.

Ila kwa sasa tunapamabana  kutatua tatizo hili ila  kwa upande wa mtandao wa Tigo tatizo limemalizika kwa sasa  tatizo limebakia kwa upande wa Vodacom tu.

Bado tunaendelea na Ufumbuzi wa tatizo hili kwa Upande wa Halotel tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza katika kipindi hiki chote.

Kwa Maoni au maswali wasiliana nasi kupitia namba hizi 0758767077
Share To:

Post A Comment: