Mwanamuziki Ali Saleh Kiba, maarufu Alikiba au King Kiba, ni miongoni mwa wasanii ambao kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kutenganisha maisha yao binafsi na maisha yao ya muziki. Watu wengi, hasa mashabiki wake wa kawaida, hawafahamu mambo mengi kuhusu maisha yake binafsi hasa yanayohusu famili yake.
Hii ni tofauti na wasanii wengine wa hapa Tanzania ama nje ya Tanzania ambao huweka wazi masuala mbalimbali yanayohusu maisha yao binafsi na familia zao hasa kupitia mitandao ya kijamii.
Alikiba ana watoto watatu, na hapa chini ni picha za mwanae mmoja anayjulikana kwa jina la Prince Sameer Ali Kiba.
Picha 10 za mtoto wa Ali Kiba ambazo ni dhibitisho kuwa anang’ara kuliko wasanii wengi wa Bongo


Share To:

msumbanews

Post A Comment: