Zitto Kabwe, Seleman Bungara ( Bwege) Wakamatwa na Jeshi la Polisi Kilwa

Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi limemkamata Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe.


Zitto Kabwe amekamatwa Leo Jumanne June 23, 2020 akiwa kwenye mkutano wa ndani wa kupokea madiwani 8 waliojiunga na chama hicho kutokea CUF katika Jimbo la Kilwa Kusini.

Taarifa iliyotolewa na Chama hicho imeeleza kuwa wengine waliokamatwa ni Mbunge wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara Maarufu kwa jina la ‘Bwege’ pamoja na Katibu wa Oganaizesheni ya Chama hicho
CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )