ZIARA YA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA KOMRED KHERI JAMES WILAYA YA ARUSHA MJINI


 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Comred Kheri D James (wa Tatu tokea kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Gabriel Daqaro mara baada ya kuwasili Katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Wilaya Arusha Mjini.

 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Ch Mapinduzi Ndg Omary Lumato akizungumza katika kikao Cha Ndani Wilayani Meru.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha Mjini Ndg Abubakari Saiplani akizungumza.

 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Comred Kheri D Jamesakizungumza na Viongozi wa CCM Mkoa wa Arusha  ndg Zeleto Stephen Mwenyekiti wa Chama Mkoa (katikati) na Ndg  Mussa Dadi Matoroka katibu wa CCM Mkoa.
 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Comred Kheri D James Akipunga Mkono mara baada ya kusimikwa ulaigwanani (Uongozi wa kimila) mkoan Arusha.

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha Ndg Zelote Stephen akizungumza katika mkutano wa Ndani wa Viongozi w CCM na Mabaraza ya Jumuiya Zote Za CCM Wilaya ya Arusha uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Mkoa.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Comred Kheri D Jamesakizungumza na Viongozi wa Halmashauri kuu ya CCM na Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuiya za CCM Wilaya ya Arusha Mjini katika Ukumbi wa CCM Mkoa wa Arusha
CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )