WAZIRI MPINA ALIVYOSHIRIKI MAZISHI YA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU MZEE MKAPA

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kijijini kwake Lupaso Masasi Mtwara

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (bara), Mzee Philip Mangula akisalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina muda mfupi baada ya kumalizika mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kijijini kwake Lupaso Masasi Mtwara.

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kulia) akiteta jambo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa  na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe (kushoto) muda mfupi baada ya kumalizika mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kijijini kwake Lupaso Masasi Mtwara

 Spika we Bunge  Mstaafu,  Anna Makinda (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kulia) muda mfupi baada ya kumalizika mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kijijini kwake Lupaso Masasi Mtwara

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Lupaso Masasi Mtwara waliofika kwenye mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina  akisalimiana na Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu (IGP), Omari Mahita mara baada ya kumalizika mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kijijini kwake Lupaso Masasi Mtwara

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )