WAZIRI MPINA AKISALIMIANA NA MWANAFUNZI HUKU MKAZO TAHADHARI DHIDI YA CORONA UKIENDELEA LEO JUMATATU YA PASAKA

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akisalimiana na Mwanafunzi
wa Darasa la Tano Shule ya Msingi Holly Cross ya Mjini Morogoro, Brian
Martin Martin leo huku wakichukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya
Corona walipokutana mjini Morogoro kwenye mapumziko ya Jumatatu ya
Pasaka. Picha na Mpiga Picha Wetu

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus ( )