Wakuu wa mikoa wakutana kujadili fursa za uwekezaji ktk mikoa yao

Wakuu wa mikoa ya Mbeya, Katavi pamoja na Kilimanjaro  wamekutana na kufanya mazungumzo ya pamoja kuhusu fursa ya uwekezaji zilizopo katika mikoa hiyo.

Wakuu wa mikoa waliokutana ni pamoja na Mkuu wa Mbeya, Albert  Chalamila, Anna Mughwira mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Juma Homera Mkuu wa Mkoa WA Katavi.

Pamoja na kufanya mazungumzo hayo wamempongeza Dkt. Hussein    Mwinyi kwa ushindi aliopata wa kupeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi huko Zanzibar.

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus ( )