SABAYA AMTUHUMU MBOWE “MSITISHE WATU NA CORONA, MWANAFUNZI ASIERIPOTI AFUKUZWE”

Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amesema amepata taarifa kwamba kuna baadhi ya Watu wameanza kuwatisha wanafunzi na kuwataka wasirudi shuleni kisa corona, na kusema mwanafunzi ambaye hatofika shuleni June 02,2020 asipokelewe shuleni na atapaswa kufika ofisini kwa DC.


“Mnatutisha kwa corona, tunae Mungu mkubwa kuliko corona, ni Taifa gani linasimama kila siku kusema waliokufa na ajali au magojiwa mengine ni hawa, haiwafikirishi kwamba usipotangaza Dunia inakuchukia kabisa” -SABAYA

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus ( )