RC Mgwira aagiza kuondolewa mtandaoni video za waliofumaniana.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
Dkt Anna Mghwira ameagiza kuondolewa mtandaoni video zenye viashiria vya
udhalilishaji kwenye mahojiano ya Wanandoa Agnes Mushi na Mumewe Vicent Malya
wanaotajwa kuhusika na shambulio la mwili wa Vena Kimario baada ya kufumaniwa
kwa kile kinachoelezwa kukiuka maadili na kuwadhalilisha wanawake.

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus ( )