PICHA: ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, MKOANI TANGA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Mamlaka ya Mkonge, akiwa katika ziara ya siku moja, kukagua maendeleo ya zao la mkonge, mkoani Tanga, Juni, 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela, wakati akiwasili katika uwanja wa ndege wa Tanga, akiwa katika ziara ya siku moja, kukacgua maendeleo ya zao la mkonge, mkoani Tanga, Juni, 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi wa Jengo la Mamlaka ya Mkonge, akiwa katika ziara ya siku moja, kukagua maendeleo ya zao la mkonge, mkoani Tanga, Juni, 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus ( )