PICHA: Waziri Mkuu amjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde

Kassim Majaliwa, akimjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde, nyumbani kwake, Uzunguni jijini Dodoma, May 19, 2020, ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )