Picha : BENKI YA CRDB SHINYANGA YAZINDUA RASMI HUDUMA YA ‘BENKI NI SIMBANKING’

Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney akizungumza leo Alhamis Februari 25,2021 wakati wa uzinduzi wa huduma ya fedha kupitia simu ‘Sim Banking’ iliyoboreshwa kupewa jina la Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ itakayowawezesha wateja kufanya huduma zote za kibenki kupitia simu.  

Afisa wa Benki ya CRDB, Lewis Temu akielezea kuhusu Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’.
Afisa wa Benki ya CRDB, Lewis Temu akielezea kuhusu Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’.
Keki na vinywaji mbalimbali wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘ Mzigo Umeboreshwa’ katika benki ya CRDB Tawi la Shinyanga.
Meneja Biashara Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Mwanahamis Iddi akifungua Keki maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga

Keki maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Meneja Biashara Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Mwanahamis Iddi akizungumza wakati wa zoezi la kukata keki maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Mteja wa Benki ya CRDB Joab Kaijage akikata Keki maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga

Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney (kulia) akimlisha keki mteja wa Benki ya CRDB Joab Kaijage wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Mteja wa Benki ya CRDB Joab Kaijage (kushoto) akimlisha keki Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Mteja wa Benki ya CRDB Joab Kaijage (kulia) akimlisha keki Meneja Biashara wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney (kulia) akimlisha keki mteja wa Benki ya CRDB wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga

Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney (kulia) akijiandaa kugawa keki kwa wateja na wafanyakazi wa benki ya CRDB wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Mteja wa Benki ya CRDB, Barikiel Somboi akiipongeza benki hiyo kwa kuendelea kuboresha huduma za kibenki akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa  ndani ya benki ya CRDB wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Meneja Biashara wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Meneja Biashara wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana (kushoto) akimkabidhi Note Book ya Benki ya CRDB, Mkurugenzi wa Mtandao wa Habari wa Malunde 1 blog, Kadama Malunde baada ya kumtangaza kuwa Balozi wa ‘Benki ni SimBanking’ Kanda ya Magharibi wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga.
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Said Pamui akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Said Pamui akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Said Pamui (kushoto), Meneja Biashara wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana na Meneja  Biashara Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Mwanahamisi Iddi wakigonga Cheers  wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Afisa Biashara Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Mwanahamisi Iddi akimhudumia vitafunwa mteja wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga

Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Said Pamui akigonga cheers na wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Said Pamui akigonga cheers na wafanyakazi wa benki ya CRDB wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa ndani ya benki wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga
Picha ya pamoja wateja na wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ katika Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga.
CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )