Official Video : Irene Robert – Nivushe

Baada ya kuachia wimbo wa Vilevile, Staa wa Muziki wa Injili anayekuja juu kwa Kasi Irene Robert amekuletea wimbo wa kutia moyo uitwao Nivushe, wimbo ambao umerekodiwa na kushutiwa kwa viwango vya juu sana. 

Tazama Video hapa chini

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )