Mwanamkeke aliyempiga mwenzake kwa madai ya kumfumania aitwa ofisini kwa RC Mgwhwira

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwhwira amemtaka Mwanamke aliyempiga mwenzake kwa madai ya kumfumania akiwa na Mumewe kufika ofisini kwake kwani wanaweza kuyamaliza mambo hayo kimila na sio mpaka wafikishane Mahakamani.

Mghwira amesema kama wanaogopa kujisalimisha Polisi wafike ofisini kwake na wako tayari kuliondoa shtaka hilo Mahakamani ili waweze kulishughulikia kwa njia za kawaida.

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus ( )