Mkutano wa wakuu wa Takwimu wa Nchi za SADC wafanyika Jijini Dar es Salaam, kwa njia ya video.

Mtakwimu  Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa wa
wajumbe kutoka NBS, akiongoza kikao cha Wakuu wa Takwimu kwa nchi wanachama wa
Jumuiya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kilichojadili kuhusu itifaki
ya takwimu za nchi hizo, kikao hicho kilifanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12,
2020.

Wajumbe
wa Kikao cha Takwimu cha nchi za SADC 
kutoka Tanzania wakiongozwa na Mtakwimu 
Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa( wa kwanza kulia), wakiwa katika
kikao hicho kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimtaifa Julius
Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020.. 


CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus ( )