MKURUGENZI MKAZI WA WFP APONGEZA UAMUZI WA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI WA KUTOWEKA ZUIO LA KUTOKA NJE (LOCKDOWN) KATIKA KIPINDI CHA MAPAMBANO YA UGONJWA WA COVID 19


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brig. Jen. Wilbert A. Ibuge na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford wakisalimiana mara baada ya kukutana kwa mazungumzo jijini Dodoma

Katika hatua nyingine Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford ametembelea vikundi vya wakulima vinavyofadhiliwa na miradi ya Shirika hilo Kibaigwa mkoani Dodoma. Lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kupata mrejesho wa maendeleo ya mradi kutoka kwa wanakikundi, na kupokea mapendekezo ya kuboresha maradi huo. 
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford, akimsikiliza mmoja wa wanufaika wa ufadhili wa WFP alipowatembelea wanufaika hao Kibaigwa, Dodoma.

Wanakikundi wakiwa katika majadala na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford .
CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )