Mgombea Urais Kwa Tiketi Ya Ccm Mhe. Rais Dkt John P Magufuli leo anachukua Fomu Ofisi Za NEC Dodoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Magufuli, leo Tarehe 06 Agosti, 2020 anachukua fomu ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya UchaguziTanzania (NEC) Njedengwa Jijini Dodoma.

Baada ya kuchukua fomu, Rais Magufuli atakwenda katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma (White House) ambako atakutana na wanachama, wapenzi na wakereketwa wa CCM na kuwasalimu
CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus ( )