MARCAS,Ahahidi mengi kwa wananchi Jiji la Arusha pindi atakapo pata ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mbunge wa Arusha Mjini.

NaLucasMyobela_Arusha.

Richar Paul maarufu Marcas ameomba Ridhaa ya kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha mjini kutokana na utendaji  kazi alioufanya katika jamii

Alisema alishawahi kufanya mambo malimbali ikiwemo uanzilishi wa kukusanya mapato ya maegesho ya nagari  (parking )Mkoa wa Arusha  mbali na kazi hiyo  pia  kazi ingine aliyoifanya ni pamoja na kushauri Twiga bank kuwa bank ya posta Mara baada ya kuona bank hiyo kuwa na matawi manne na kukusanya Madeni na baadae kuwa moja ya bank kubwa nchini 
Pia alisema ni mkusanyaji wamadeni sugu mamlaka ya usimamizi wa bandari zote Tanzania pamoja na mdai ya madeni sugu ya wanafunzi wa chuo cha bandari 
Alisema endapo hata chaguliwa kuwa Mbunge wa Arusha hatasaidia wakina mama wanao panga bithaa bara barani eneo la frence cona wanapata maeneo ya kufanyia biashara zao mahali salama zaidi 
Katika Sera yake amehaidi ataongea na watu wa national housing pamoja na viongozi wa chama na serikali hili kupata jengo katikati ya mji hili aweze kujenga city market 
Amewaomba wajumbe kumpa ridhaa kwani jimbo la Arusha linaitaji MTU mwenye maono kama ya kwakwe aweze kusaidiana na Mh John Pombe Magufuli kuendeleza Tanzania ya uchumi wa kati
CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus ( )