Makamu Wa Raisi Azungumza Na Wajumbe Wa Kamati Ya Siasa Na Sekretarieti Ya CCM Wilaya Ya Temeke

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa CCM na Wananchi,  alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Temeke Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 23,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke.

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na  DJ Mwanaidi Adinan Msuya wa Kikundi cha Peramiho Music Sound  alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Temeke Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 23,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Temeke Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 23,2020. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )