MAKAMU WA RAIS AHIMIZA MATUMIZI YA STAKABADHI ZA GHALA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo ambapo ujumbe wa mwaka huu Nanenane kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Kiongozi Bora 2020.
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga ,akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo ambapo ujumbe wa mwaka huu Nanenane kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Kiongozi Bora 2020.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya,akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo ambapo ujumbe wa mwaka huu Nanenane kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Kiongozi Bora 2020.
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga pamoja na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe ,wakifatilia Uzinduzi wa Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo ambapo ujumbe wa mwaka huu Nanenane kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Kiongozi Bora 2020.
CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )