JKT WAINGIA MKTABA NA WIZARA YA KILIMO KUSHIRIKIANA SEKTA YA KILIMO

 

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali  Charles Mbuge (kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,  Gerald Kusaya  wakitiliana sahihi mkataba wa ushirikiano katika kilimo wakati wa  hafla iliyofanyika Makao Makuu ya JKT, Wilaya ya Chamwino, Dodoma jana.

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali  Charles Mbuge (kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,  Gerald Kusaya wakibadilisha hati baada ya kutiliana sahihi mkataba wa ushirikiano katika kilimo wakati wa  hafla iliyofanyika Makao Makuu ya JKT, Wilaya ya Chamwino, Dodoma jana. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA.

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )