FOMU ZA WAGOMBEA UBUNGE CCM SINGIDA ZAENDELEA KURUDISHWA.

Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Singida, Edina Kiguru (kushoto) akipokea fomu ya kugombea Ubunge kupitia UVCCM Mkoa wa Singida kutoka kwa, Ashura Hamis Selemani.

Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Singida, Edina Kiguru (kushoto) akipokea fomu ya kugombea Ubunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida kutoka kwa, Leah Paul Lwanji.

Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Singida, Edina Kiguru (kushoto) akipokea fomu ya kugombea Ubunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida kutoka kwa, Warida Musa Nkhangaa.

 Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Singida, George Silindu,  akipokea fomu ya kugombea Ubunge kupitia UVCCM Mkoa wa Singida kutoka kwa, Esther Yona Makala.

Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Singida, Edina Kiguru (kushoto) akipokea fomu ya kugombea Ubunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida kutoka kwa, Asha Nkindwa.

Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Singida, Edina Kiguru (kushoto) akipokea fomu ya kugombea Ubunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida kutoka kwa, Mbunge aliyemaliza muda wake, Aysharose  Mattembe ambaye anatetea kiti hicho.

Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Singida, Edina Kiguru (kushoto) akipokea fomu ya kugombea Ubunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida kutoka kwa, Julieth Julius Ishengoma.

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )