DC KENAN KIHONGOSI AKABIDHIWA OFISI RASMI

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Kenan Kihongosi akikabidhiwa ofisi na mtangulizi wake Ndg. Gabriel Daqarro katika ofisi za Wilaya ya Arusha 25 Juni 2020

Mhe. kenan Kihongosi amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumuanini na kumteua kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, kadhalika amesisitiza ushirikiano na kutokukata tamaa bali kuongeza bidii katika kutimiza majukumu ya utumishi wa Umma.

Ndg. Daqaroo ameshukuru kwa ushirikiano wa kutosha aliopatiwa kipindi cha uongozi wake na kusisitiza ushirikiano huo uendelee  kwa kiongozi aliyepo sasa na kuendeleza mshikamano katika kazi za kulijenga Taifa na kuwatumikia wananchi kwa ujumla.

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus ( )