Category: Michezo

TABORA UNITED KUWAKARIBISHA SINGIDA BIG STARS KESHO UWANJA WA MWINYI
Michezo

TABORA UNITED KUWAKARIBISHA SINGIDA BIG STARS KESHO UWANJA WA MWINYI

Msumba- February 24, 2024

BAADA ya kutinga katika hatua ya 16 bora michuano ya Kombe la Azam Sports Federatio (ASFC) Timu ya Tabora United kesho itashuka tena katika Uwanja ... Read More

Kili Marathon 2024 Watangaza Barabara Zitakazofungwa Jumapili
Michezo

Kili Marathon 2024 Watangaza Barabara Zitakazofungwa Jumapili

Msumba- February 23, 2024

ZIKIWA zimebakia siku chache kabla ya kufanyika mbio maarufu za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon kwa mwaka wa 2024, waandaaji wa mbio hizo wametoa maelezo ... Read More

TAMASHA LA UTALII SAME KUIBUA FURSA MPYA ZA AJIRA KWA WANANCHI
Michezo

TAMASHA LA UTALII SAME KUIBUA FURSA MPYA ZA AJIRA KWA WANANCHI

Msumba- February 19, 2024

  Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kwenye tamasha la utalii Wilayani Same Mkuu wa Wilaya hiyo amesema tamasha hilo litaibua fursa mbalimbali za ajira kwa ... Read More

Mshewa FC,Makanya united,Chato FC Mabingwa wa mathayo cup
Michezo

Mshewa FC,Makanya united,Chato FC Mabingwa wa mathayo cup

Msumba- January 29, 2024

Dickson Mnzava, same. Fainali za Mathayo Cup ngazi ya tarafa zimehitimishwa rasmi na washindi wa kila tarafa kujinyakulia zawadi yake.   Katika tarafa ya mwembe ... Read More

POLISI ARUSHA YAWATAMBUA WALIOTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI
Michezo

POLISI ARUSHA YAWATAMBUA WALIOTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

admin- January 27, 2024

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha katika kuhakikisha linaboresha huduma bora kwa Wananchi limeendelea kuwatambua na kuwapongeza Askari wa Jeshi hilo wanaofanya kazi vizuri zaidi ya ... Read More

Ligi ya Kikapu Tanga kurindima hivi karibuni.
Michezo

Ligi ya Kikapu Tanga kurindima hivi karibuni.

Msumba- July 22, 2023

 NA DENIS CHAMBI, TANGA.NANI atakwenda kunyakua taji la ligi ya mpira wa kikapu mkoa wa Tanga msimu huu?  Pengine hili ni swali ambalo wanafamilia wa ... Read More

KUAMBIANA CUP YAZINDULIWA TARAFA YA MAWENGI
Michezo

KUAMBIANA CUP YAZINDULIWA TARAFA YA MAWENGI

Msumba- July 20, 2023

 Na. Damian Kunambi, Njombe.Baada ya kufanyika uzinduzi wa ligi ya Kuambiana Cup katika tarafa ya Masasi wilayani Ludewa mkoani Njombe hatimaye ligi hiyo imezinduliwa tena ... Read More