Category: Matukio

MKUTANO MKUU WA 79 WA CISM KUFANYIKA TANZANIA.
Matukio

MKUTANO MKUU WA 79 WA CISM KUFANYIKA TANZANIA.

Msumba- February 20, 2024

Mkutano Mkuu wa 79 wa mwaka wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM) kwa mwaka 2024 kufanyika Tanzania. Lengo la baraza hilo ni kutumia ... Read More

TUNATEGEMEA MAFANIKIO MAKUBWA REA – BODI MPYA
Matukio

TUNATEGEMEA MAFANIKIO MAKUBWA REA – BODI MPYA

Msumba- February 20, 2024

  Bodi ya Nishati Vijijini (REB) inayosimamia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imesema inategemea mafanikio makubwa katika kuiwezesha Wakala hiyo kutimiza azma yake ya kuwafikishia ... Read More

MAKATIBU WAKUU WAKUTANA KUJADILI MASUALA YA LISHE
Matukio

MAKATIBU WAKUU WAKUTANA KUJADILI MASUALA YA LISHE

Msumba- February 9, 2024

     Maibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Dkt. Wilson Charles Mahela ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kwa lengo ... Read More

VYANZO VIPYA VYA UMEME KUANZISHWA KUKIDHI ONGEZEKO LA MAHITAJI
Matukio

VYANZO VIPYA VYA UMEME KUANZISHWA KUKIDHI ONGEZEKO LA MAHITAJI

admin- February 8, 2024

  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kutekeleza miradi mipya ya uzalishaji wa umeme badala ya kutegemea ... Read More

MATUMIZI YA VISHIKWAMBI BUMBULI KUOKOA MILIONI 30/- KWA MWAKA
Matukio

MATUMIZI YA VISHIKWAMBI BUMBULI KUOKOA MILIONI 30/- KWA MWAKA

admin- February 7, 2024

HALMASHAURI ya Bumbuli mkoani Tanga inatarajia kuokoa zaidi ya Sh.milioni 30 kwa mwaka kutokana na kuachana na matumizi ya mfumo wa karatasi kwenye vikao na ... Read More

NAIBU WAZIRI PINDA AELEKEZA UENDELEZAJI MIJI KUZINGATIA MIPANGO KABAMBE
Matukio

NAIBU WAZIRI PINDA AELEKEZA UENDELEZAJI MIJI KUZINGATIA MIPANGO KABAMBE

Msumba- February 7, 2024

Na Munir Shemweta, WANMM Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda amezielekeza Halmashauri zote nchini kuhakikisha maendelezo yoyote yanayofanyika yanazingatia na ... Read More

TARURA YAREJESHA MAWASILIANO DAR ES SALAAM
Matukio

TARURA YAREJESHA MAWASILIANO DAR ES SALAAM

Msumba- January 31, 2024

TARURA imefanikiwa kurejesha mawasiliano ya miundombinu katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam na hivyo wananchi kuendelea na shughuli zao kiuchumi na kijamii. ... Read More