Category: Maji

WANANCHI KILIMANJARO WANALAZIMIKA KUNYWA MAJI MACHAFU YA MTO KARANGA HALI AMBAYO INATISHIA USALAMA WA AFYA ZAO
Maji

WANANCHI KILIMANJARO WANALAZIMIKA KUNYWA MAJI MACHAFU YA MTO KARANGA HALI AMBAYO INATISHIA USALAMA WA AFYA ZAO

Msumba- February 21, 2024

  Wananchi hao wamesema wanalazimika kunywa maji hayo kutokana na mgao mkubwa wa maji uliopo katika kitongoji hicho kwa mwezi wanapata mgao wa maji mara ... Read More

MAHUNDI: “MRADI WA MAJI TUKUYU KUHUDUMIA WAKAZI ELFU 63,647”
Maji

MAHUNDI: “MRADI WA MAJI TUKUYU KUHUDUMIA WAKAZI ELFU 63,647”

Msumba- February 7, 2024

SERIKALI imesema inaendelea na ukamilishaji wa Mradi wa Maji Tukuyu Mjini unaolenga kuhudumia wakazi wapatao 63,647 waishio kwenye Mitaa ya Mabonde, Kasyeto, Ndyonga, Batini, Bulyaga, ... Read More

WAKAZI ELFU 12,500 TUNDURU KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI MBESA- LIJOMBO
Maji

WAKAZI ELFU 12,500 TUNDURU KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI MBESA- LIJOMBO

Msumba- February 6, 2024

SERIKALI kupitia Wizara ya Maji imesema inaendelea na utekelezaji wa Mradi wa Maji Mbesa-Ndaje utakaonufaisha vijiji vitatu (3) vya Mbesa, Lijombo na Airport vilivyopo Tunduru ... Read More

WIZARA YA MAJI YAIKOSHA KAMATI YA BUNGE USHIRIKISHAJI WANANCHI MIRADI YA MAJI
Maji

WIZARA YA MAJI YAIKOSHA KAMATI YA BUNGE USHIRIKISHAJI WANANCHI MIRADI YA MAJI

Msumba- February 4, 2024

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imeipongeza Wizara ya Maji kwa ushirikishaji wananchi wakati wa kutekekeza miradi ya maji. Pongezi hizo ... Read More

SERIKALI KUANZA UTEKELEZAJI MRADI WA MAJI VIJIJI 57 KYERWA
Maji

SERIKALI KUANZA UTEKELEZAJI MRADI WA MAJI VIJIJI 57 KYERWA

Msumba- January 31, 2024

 NAIBU Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amesema Serikali imeanza utekelezaji wa mradi wa maji katika vijiji 57 Wilayani Kyerwa. Amesema hadi sasa, utekelezaji ... Read More

WAZIRI AWESO AWASHA MOTO HUDUMA KUBORESHWA MAMLAKA YA MAJI ARUSHA,ATOA SIKU 30
Maji

WAZIRI AWESO AWASHA MOTO HUDUMA KUBORESHWA MAMLAKA YA MAJI ARUSHA,ATOA SIKU 30

Msumba- January 28, 2024

  Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso(MB) amewasili jijini Arusha kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali za upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama ikiwa ni ... Read More

AWESO ATOA MAELEKEZO MAZITO UCHIMBAJI VISIMA,MIPANGO YA VISIMA NCHI NZIMA YABAINISHWA
Maji

AWESO ATOA MAELEKEZO MAZITO UCHIMBAJI VISIMA,MIPANGO YA VISIMA NCHI NZIMA YABAINISHWA

admin- January 27, 2024

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefika kwenye milima ya Kilimarondo Nachingwea kukagua na kufuatilia Utekelezaji wa Kazi ya Uchimbaji visima inayofanywa na Magari ya ... Read More