Category: Kitaifa

Wakuu Wa Idara Na Watendaji Kukiona Wasipokamilisha Miradi Kwa Wakati-DC Mpogolo
Kitaifa

Wakuu Wa Idara Na Watendaji Kukiona Wasipokamilisha Miradi Kwa Wakati-DC Mpogolo

Msumba- February 24, 2024

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametoa angalizo kwa wakuu wa Idara na watendaji katika Wilaya hiyo, watakaoshindwa kukamilisha miradi kwa wakati na viwango ... Read More

SERIKALI IBORESHE MFUMO WA SCADA KUDHIBITI UPOTEVU WA MAFUTA-KAMATI YA BUNGE
Kitaifa

SERIKALI IBORESHE MFUMO WA SCADA KUDHIBITI UPOTEVU WA MAFUTA-KAMATI YA BUNGE

Msumba- February 24, 2024

  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kupitia kwa Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja (PBPA) kuufanyia maboresho mfumo ... Read More

DCEA YAWAFIKIA VIJANA ZAIDI YA 1000 VITA YA DAWA ZA KULEVYA.
Kitaifa

DCEA YAWAFIKIA VIJANA ZAIDI YA 1000 VITA YA DAWA ZA KULEVYA.

Msumba- February 24, 2024

Wanafunzi zaidi ya 1,000 wa shule za msingi, sekondari na vyuo wilayani Babati mkoani Manyara wamepewa mafunzo maalum ya kudhibiti dawa za kulevya kutoka Mamlaka ... Read More

VIJIJI VYOTE 360 IRINGA VYAPATA UMEME
Kitaifa

VIJIJI VYOTE 360 IRINGA VYAPATA UMEME

Msumba- February 23, 2024

  Usambazaji umeme vijijini mkoani Iringa umefanyika kwa asilimia 100 ambapo vijiji vyote 360 mkoani humo vimesambaziwa umeme kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na Wakala wa ... Read More

SERIKALI YASHIRIKI MKUTANO WA 13 UNAOHUSU UBUNIFU WA TEKNOLOJIA ZA MAJI LONDON, UINGEREZA
Kitaifa

SERIKALI YASHIRIKI MKUTANO WA 13 UNAOHUSU UBUNIFU WA TEKNOLOJIA ZA MAJI LONDON, UINGEREZA

Msumba- February 22, 2024

SERIKALI kupitia Wizara ya Maji imefanya mazungumzo na wadau, taasisi na makampuni mbalimbali ya maji katika eneo la uwekezaji kwenye viwanda vya kuzalisha madawa ya ... Read More

BILIONI 9 ZIMEFIKISHA UMEME WA REA VIJIJI VYOTE WANGING’OMBE
Kitaifa

BILIONI 9 ZIMEFIKISHA UMEME WA REA VIJIJI VYOTE WANGING’OMBE

Msumba- February 21, 2024

 Na Veronica Simba - REA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko ameeleza kuwa vijiji vyote 108 vya Wilaya ya Wanging’ombe ... Read More

TUSIKATE MITI HOVYO”-DKT. MPANGO
Kitaifa

TUSIKATE MITI HOVYO”-DKT. MPANGO

Msumba- February 21, 2024

  Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Phillip Mpango amewataka wananchi kutokata miti hovyo ili kulinda mazingira na uoto wa asili uliopo sasa. Dkt. Mpango ameyasema ... Read More