Category: Habari

MAAFISA HABARI WAPIGWA MSASA KUHUSU AKILI HISIA
Habari

MAAFISA HABARI WAPIGWA MSASA KUHUSU AKILI HISIA

Msumba- February 29, 2024

Maofisa Habari na mawasiliano nchini wametakiwa kuelewa dhana nzima ya akili hisia na namna ya kukabiliana na changamoto wanazokutana nazo sehemu za kazi na katika ... Read More

IAA YASHIRIKI KUJADILI UTEKELEZI MRADI WA HEET
Habari

IAA YASHIRIKI KUJADILI UTEKELEZI MRADI WA HEET

Msumba- February 29, 2024

  Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimeungana na taasisi za elimu juu na taasisi nyingine nufaika za Mradi wa elimu ya juu kwa mageuzi ya ... Read More

PINDA AKUTANA NA WATUMISHI WA SUA KAMPASI YA MIZENGO PINDA
Habari

PINDA AKUTANA NA WATUMISHI WA SUA KAMPASI YA MIZENGO PINDA

Msumba- February 29, 2024

Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda amekutana na watumishi wa Chuo Kikuu cha ... Read More

Mkutano Wa Mawaziri Wa Sheria Wa Nchi Wanachama Wa Jumuiya Ya Madola Kwa Mara Ya Kwanza Kufanyika Zanzibar
Habari

Mkutano Wa Mawaziri Wa Sheria Wa Nchi Wanachama Wa Jumuiya Ya Madola Kwa Mara Ya Kwanza Kufanyika Zanzibar

Msumba- February 27, 2024

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa ... Read More

KAVUU YATEKELEZA MIRADI YA ELIMU YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 9.98
Habari

KAVUU YATEKELEZA MIRADI YA ELIMU YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 9.98

Msumba- February 26, 2024

Jimbo la Kavuu lililopo halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi katika kipindi cha kuanzia Novemba 2020 mpaka Februari 2024 limefanikiwa kutekeleza miradi ... Read More

MAHUNDI AKUSANYA 50M UJENZI WA KANISA KKKT SINAI MBEYA
Habari, MAHUNDI

MAHUNDI AKUSANYA 50M UJENZI WA KANISA KKKT SINAI MBEYA

Msumba- February 26, 2024

  Naibu Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Mhandisi Maryprisca Mahundi ameongoza harambee ya ujenzi wa Kanisa la ... Read More

DKT. MOLLEL AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI MOUNT MERU
Habari

DKT. MOLLEL AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI MOUNT MERU

Msumba- February 25, 2024

Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amewajulia hali majeruhi 21 wa ajali iliyohusisha magari manne eneo la Ngaramtoni, Mkoani Arusha waliolazwa katika Hospitali ya ... Read More