Category: CCM Ziara

MBUNGE NDAKIDEMI ATAKA VIONGOZI WA CHAMA KUWALINDA VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI. MOSHI.
CCM Ziara

MBUNGE NDAKIDEMI ATAKA VIONGOZI WA CHAMA KUWALINDA VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI. MOSHI.

Msumba- February 21, 2024

MBUNGE wa Jimbo la Moshi vijijini wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, Prof. Patrick Ndakidemi amewaomba viongozi wa chama kuwalinda viongozi waliopo madarakani ili waweze kutekeleza majukumu ... Read More

CCM MOSHI YAKERWA NA WAKANDARASI WAZEMBE..
CCM Ziara

CCM MOSHI YAKERWA NA WAKANDARASI WAZEMBE..

Msumba- February 21, 2024

  WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro wameitaka serikali kutowapa kazi wakandari ambao wamekuwa wakichelewesha ukamilishaji ... Read More

NAIBU WAZIRI PINDA ZIARANI KATAVI
CCM Ziara

NAIBU WAZIRI PINDA ZIARANI KATAVI

Msumba- February 19, 2024

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda amewasili mkoani Katavi Katavi leo tarehe 19 Februari 2024 ambapo mbali na mambo ... Read More

ZABUNI ZA TACTIC KUNDI LA TATU KUTANGAZWA MWISHONI MWA FEBRUARI,2024
CCM Ziara

ZABUNI ZA TACTIC KUNDI LA TATU KUTANGAZWA MWISHONI MWA FEBRUARI,2024

Msumba- February 16, 2024

  NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Deogratius Ndejembi amesema Zabuni za kupata wasanifu wa kundi la tatu lenye miji 18 ikiwemo Halmashauri ya Mji ... Read More

OLE LEKAITA AKABIDHI MAGARI MAWILI YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA SUNYA-KITETO
CCM Ziara

OLE LEKAITA AKABIDHI MAGARI MAWILI YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA SUNYA-KITETO

Msumba- February 16, 2024

Kituo cha afya cha Sunya kilichopo katika Wilaya ya Kiteto kimekabidhiwa magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa ajili ya kuwahudumia wananchi. Akizungumza mara baada ya ... Read More

WAZIRI MKUU MSTAAFU MSUYA AWAONYA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI WILAYANI MWANGA.
CCM Ziara

WAZIRI MKUU MSTAAFU MSUYA AWAONYA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI WILAYANI MWANGA.

Msumba- February 8, 2024

NA WILLIUM PAUL, MWANGA. WAZIRI Mkuu mstaafu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Cleopa David Msuya amewaonya viongozi wa chama cha Mapinduzi na Serikali wilayani ... Read More

MBUNGE AGNESS MARWA AKABIDHI MITUNGI YA GESI MUSOMA VIJIJINI
CCM Ziara

MBUNGE AGNESS MARWA AKABIDHI MITUNGI YA GESI MUSOMA VIJIJINI

Msumba- February 5, 2024

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Agness Marwa amekabidhi mitungi ya Gesi kwa kikundi kinachojishughulisha na upishi katika Kijiji cha Rwanga kata ya Rusoli ... Read More