Breaking News : MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AVAMIWA NA KUSHAMBULIWAMwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe ameshambuliwa na kujeruhiwa na Watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake Dodoma, amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu.


Msemaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA Tumaini Makene amethibitisha kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho Freeman Mbowe amevamiwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana.

Makene amesema Mbowe kwa sasa anapokea matibabu.

Taarifa zaidi zinakuja hivi punde…
CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )