Boss wa Takukuru Arusha Aondolewa niyule alieonywa na Rais Magufuli

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), Brigedia Jenerali John Mbungo,  amepangua vituo vya kazi vya maafisa sita wa taasisi hiyo


Taarifa ya mabadiliko hayo imetolewa  Jumamosi tarehe 27 Juni 2020 na Doreen Kapwani, Afisa Uhusiano wa Takukuru.

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus ( )