Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri Achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Siha

Mbunge wa zamani wa jimbo la Siha,na mkuu wa mkoa mstaafu wa Tabora Aggrey Mwanri amechukua fomu ya ubunge wa jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro kupitia chama  cha Mapinduzi – CCM

CATEGORIES
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )